iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Mohammad Bagher Qalibaf amechaguliwa kuwa spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran. Kikao cha kumchagua spika wa bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu kimefanyika Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3472810    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/28